KAMPUNI YA MAZIWA “MBOZI MAZIWA LIMITED”KAMPUNIMVIWAMBO ni mtandao wa  Vertaling - KAMPUNI YA MAZIWA “MBOZI MAZIWA LIMITED”KAMPUNIMVIWAMBO ni mtandao wa  Swahili hoe om te zeggen

KAMPUNI YA MAZIWA “MBOZI MAZIWA LIM

KAMPUNI YA MAZIWA “MBOZI MAZIWA LIMITED”

KAMPUNI

MVIWAMBO ni mtandao wa hiari wa vikundi vya wafugaji wilayani Mbozi, unaoundwa na vikundi kumi na saba (17) na kusajiliwa katika Wizara ya mambo ya ndani tarehe 12 Februari 2002 kwa namba ya usajili ya SO.NO.12344.Vikundi hivi vya wafugaji wa ng’ombe wa maziwa viliungana kwa uwezeshaji wa mradi wa kuendeleza ustawi wa ng’ombe wa maziwa nyanda za juu Kusini (Southern Highlands Dairy Development Programme) SHDDP
Moja ya vikundi husika ni ushirika wa wafugaji wa ng’ombe wa maziwa Vwawa,ambao ulibuni mpango wa kuwa na kiwanda cha kusindika maziwa toka kwa wanaushirika,vikundi shirikishi na wafugaji wasiowanakikundi.Wazo hilo lilianza kufanyiwa kazi na wanaushirika kwa kuanza kutoa michango kwa ajili ya ujenzi wa kiwanda kilichokusudiwa.Katika harakati hizi,wazo hili lilipendekezwa katika mkutano wa mtandao ambao uliafikiana na wazo la ushirika wa wafugaji wa ng’ombe wa maziwa Vwawa na kuchukua hatua zifuatazo:-
1. Kuandaa mpango mdogo wa namna ya kuchangia/namna ya upatikanaji wa fedha za kugharamia shughuri za ujenzi wa kiwanda hicho.
2. Kuomba eneo toka Halmashauri ya wilaya, mahali pa kujenga kiwanda cha maziwa na ombi lilifanikiwa.
3. Kuomba msaada wa kifedha toka Halmashauri kwa ajili ya ujenzi na ununuzi wa vifaa kadhaa vinavyohusika na ukusanyaji wa maziwa na usindikaji.
4. Pamoja na mchango wa Halmashauri,mtandao umefanikiwa kujenga jengo dogo linalotumika kwa biashara ya maziwa moto,mtindi, maziwa aina ya yogoti (yoghurt), na kutunzia pembejeo za wafugaji k.m.madini.Ambalo kwa sasa linategemewa kuwa kiwanda kidogo cha maziwa cha kuanzia usindikaji.

MAONO/MATARAJIO YA MVIWAMBO
Kuona kwamba:-
• Maisha ya wafugaji wa ng’ombe wa maziwa yameboreka na kipato cha mfugaji kimeongezeka na
• Lishe ya jamii kwa ujumla imeboreka.

MALENGO YA MVIWAMBO
1.1. Kujenga na kupanua mawasiliano baina ya vikundi vya wafugaji wa ng’ombe wa maziwa na kuwezesha wafugaji kubadilishana mawazo baina yao kwa faida ya mfugaji mmoja mmoja.
• Kuunganisha nguvu za wafugaji pamoja ili kuinua kipato chao, kitu ambacho kingekuwa kigumu kwa mfugaji mmoja mmoja.
• Kumshawishi mfugaji au kikundi cha wafugaji kufanya ufugaji endelevu, ufugaji wa kibiashara kibiashara /ufugaji wa tija ili kuboresha maisha yake.
• Kuwa wakili wa vikundi katika kutetea maslahi ya wafugaji katika uzalishaji wa maziwa ili waweze kujikwamua kutoka kwenye wimbi la umaskini.
• Kuendesha miradi mbalimbali inayohusu uboreshaji wa ng’ombe wa maziwa kwa lengo la kuongeza uzalishaji bora wa maziwa.
• Kuboresha mahusiano ya jinsia na umihimu wake katika uzalishaji wa maziwa.
1.2 Ili kufanikisha malengo hayo MVIWAMBO umenuia:-
• Kuendesha mafunzo mbalimbali kwa kutumia wawezeshaji mahiri juu ya ufugaji bora wenye tija (kibiashsra) vikiwemo Vyuo vya Uyole Livestock Research Center (ULRC) na Chuo cha Kilimo Sokoine (SUA).
• Kuinua kiwango cha uzalishaji toka wastani wa lita 7 hadi lita 13 za maziwa kwa siku na ubora wa maziwa.Hili litawezekana kwani kutakuwepo soko la kuaminika la maziwa na vifaa bora vya kukusanyia maziwa kwenda kiwandani.
• Kuwezesha mpango wa upandishaji ng’ombe kwa kutumia chupa (Artificial insemination/Uhimilishaji) ili kuongeza uzalishaji bora wa maziwa kwa kuboresha koo za ng’ombe ndani ya wilaya.
• Kuhimiza wafugaji kuwa na malisho bora na mbinu za utunzaji wa chakula cha ng’ombe kwaajili ya matumizi wakati wa kiangazi ili kuhakikisha upatikanaji wa maziwa kipindi chote.
Tangu mwaka 2008,ushirika wa wafugaji ng’ombe wa maziwa VWAWA umepata uzoefu wa usindikaji wa maziwa na bidhaa za maziwa.Ushirika unakusanya maziwa toka kwa wanachama wake,vikundi dada na wafugaji wasio wanachama.
Mtandao umekubaliana na kikundi cha wakulima toka kusini mwa Uholanzi (Kiitwacho Foundation Kuungana) kushirikiana katika uanzishwaji wa kiwanda cha kusindika maziwa Mbozi kama Wabia.
i) Makubaliano yaliyotiwa saini na pande zote mbili mwaka 2009 yanautambua Mtandao wa Vikundi vya Wafugaji wa Ng’ombe Mbozi (MVIWAMBO) kuwa ndio wenye kiwanda na ndio utakaoongoza shughuri za ujenzi na uongozi/uendeshaji wa kiwanda,na
ii) KUUNGANA FOUNDATION watawajibika na utafutaji na ununuzi wa mitambo itakayohitajika na uongozi wa kiwanda hicho.

1. WAFAIDIKAJI
1.1 Watakaofaidika na uanzishaji wa kampuni inayokusudiwa ni angalau familia za wafugaji mia saba (700) ambao kwa sasa ni wanachama wa vikundi vinavyounda mtandao “MVIWAMBO”.Kwa kuboresha maisha yao kiafya na kujiongezea kipato kutokana na biashara ya maziwa.
1.2 Jamii yote ya wakazi wa wilaya ya Mbozi ambao kwa kutumia/kujenga tabia ya kunywa maziwa na bidhaa zake watajenga/wataimarisha afya zao na kurefusha maisha yao.
1.3 Kampuni tarajiwa (Mbozi Maziwa Limited) itachangia katika kipato kwa wanufaika hasa wafugaji kwa:-

1.3.1 Kuwapunguzia wafugaji muda katika jitihada za kuuza maziwa kwani wangelazimika kuuza maziwa nyumba kwa nyumba jambo ambalo lingewagharimu muda wao.

1.3.2 Wafugaji wataweza kuuza maziwa yanayokamuliwa jioni bila shida ambayo bila uwepo wa kiwanda itamuwia vigumu mfugaji kupata soko lake kwani hawana vifaa vya kupozea maziwa.

1.3.3 Wafugaji watanufaika kuboresha mifugo (ng’ombe) yao kutokana na teknologia na mafunzo watakayokuwa wanayapata kutokana na uanachama wake kwenye mtandao, kwa mfugaji anayetegemea watoa huduma binafsi itakuwa ni ngumu kupata huduma hizi wanazozipata kwenye mtandao.

1.3.4 Wafugaji watanufaika kutoka kwenye kampuni hii mpya katika usindikaji wa maziwa kwa gharama nafuu.

1.3.5 Wafugaji watanufaika kwa kupata taarifa za masoko kutoka kampuni mpya, itakuwa ni rahisi kwa kampuni kubainisha masoko mapya au taarifa za masoko mapya sehemu mbalimabali ya kuuzia maziwa na kuandaa usafirishaji ikilinganishwa na mfugaji mmoja au kikundi kidogo.

1.3.6 Wafugaji watanufaika kupata gawio kutokana na hisa zao endapo kampuni itapata faida.Lakini ni busara gawio hilo kutolewa baada ya kuona kampuni itakuwa imeimarika.

2. BIDHAA ZITAKAZOZALISHWA NA KAMPUNI
Kampuni itatengeneza na kuuza bidhaa zifuatazo:-
(i) Maziwa mtindi (Pasteurized sour milk) katika vifungashio vya mililita 250 na mililita 500.
(ii) Krimu,Samli /siagi na jibini (Cream,Ghee and Cheese)
(iii) Maziwa yaliyochemshwa na kupoozwa (Pasteurized fresh cold milk) katika vifungashio vya ujazo wa mililita 500 na
(iv) Yoghurt katika vifungashio vyenye ujazo wa mililta250.

UPATIKANAJI WA MAZIWA GHAFI
Maziwa ghafi yataletwa na vikundi vya wafugaji wa Ng’ombe wa maziwa na wafugaji binafsi.( Wafugaji binafsi ambao kiwango chao cha maziwa ni kidogo watauza moja kwa moja kwenye kampuni na kulipwa papo hapo). Wafugaji walio mbali na kiwanda (Kampuni ) watauza maziwa kwenye vikundi vyao,ambapo maziwa yatadhibitiwa ubora wake na yatapelekwa kiwandani . Vikundi vya wafugaji wa Ng’ombe wa maziwa vitapata bei kubwa kutoka kwenye kampuni ikilinganishwa na wafugaji binafsi,hii ni kutokana na gharama zitakazofanywa na vikundi katika kukusanya na kudhibiti ubora wa maziwa.
Mwaka 2006 uzalishaji wa maziwa ulikuwa ni lita 750 kwa siku. Mpango wa kampuni unalenga kuongeza uzalishaji kutoka lita 1880 kwa siku mwaka wa kwanza mpaka lita 4460 kwa siku katika mwaka wa kumi (10) .Uzalishaji wa lita 1880 za mwaka wa kwanza umezingatia hali halisi ya sasa.
Uzalishaji wa maziwa katika Mkoa unaongezeka kutokana na kuongezeka kwa Ng’ombe wa maziwa kwa 8% kwa mwaka. Mviwambo pia itaimarisha uzalishaji wa maziwa kwa kuboresha uhimilishaji (upandishaji kwa njia ya chupa / A.I) na kuongeza maeneo ya kupanda malisho ambayo itaongeza uzalishaji kwa 10% kwa mwaka.

USHINDANI KATIKA BIASHARA
Washindani wakuu wa kampuni ni wauzaji binafsi wa maziwa ghafi katika wilaya /Ndani ya Wilaya .Kuna maduka matatu (3) binafsi yaliyopo ndani ya wilaya yanayouza maziwa ghafi.Kwa maziwa yaliyosindikwa hakuna mshindani katika Wilaya kwa wakati huu. Wauzaji binafsi hushindana na kampuni kwa kununua maziwa kwa bei ya juu wakati wa kiangazi .Kampuni na Mviwambo kama mtandao watahamasisha wafugaji umuhimu wakuzingatia soko la kuaminika kwa muda mrefu/nyakati zote pia Kampuni itashindana kwa kuzalisha bidhaa bora zaidi ili kukidhi soko la ushindani.

TEKNOLOJIA
• Ukusanyaji wa maziwa ghafi katika vituo vya kukusanyia maziwa katika vijiji vitano
• Kuzingatia ubora wa maziwa katika vituo vya kukusanyia maziwa ghafi.
• Utunzaji bora wa maziwa katika matanki yakupozea maziwa katika vituo vya kukusanyia
• Usafirishaji bora wa maziwa kila siku kutoka kwenye vituo vya kukusanyia maziwa hadi kwenye kiwanda cha usindikaji.
• Ukaguzi wa ubora wa maziwa baada ya kuwasili kiwandani
• Uchemshaji na uboreshaji wa maziwa
• Uzalishaji wa maziwa ili kupata bidhaa za maziwa mbalimbali
• Ufungaji wa maziwa yaliyosindikwa na utunzaji kwenye vyumba baridi vya kutunzia
• Usambazaji wa maziwa yaliyosindikwa kwenye maduka ya maziwa.
Kutokana na kutokuwepo na maji ya uhakika na umeme wa kuaminika hivyo kampuni itahitajika Genereta na kisima (bore hole) cha kuaminika kama sehemu ya mradi.Pia Kampuni inategemea kufanya biashara ya maji salama kutoka kwenye kisima chake cha kuaminika.

3. UTAFITI WA SOKO
Soko limegawanyika katika sehemu kuu mbili.

Maziwa ghafi.
Uuzaji wa maziwa ghafi hautaruhusiwa kutokana na sababu za kiafya, ingawa sehemu kubwa ya biashara ya maziwa sasa hivi huendeshwa katika hali hiyo.

Maziwa yaliyosindikwa
Mbali na maziwa halisi (fresh) pia kuna soko la maziwa lala, Yoghurt, siagi, samli & jibini

MIKAKATI YA KUFIKIA MALENGO YASOKO
Kampuni inanuia kuuza maziwa yaliyosindiwa tu ambayo ni Maziwa yaliyochemshwa na kupoozwa,yoghurt ,Mtindi siagi ,samli & jibini. Kampuni haitauza maziwa ghafi,hii ni kutokana na kuzui
0/5000
Van: -
Naar: -
Resultaten (Swahili) 1: [Kopiëren]
Gekopieerde!
Kampuni YA Maziwa "Mbozi Maziwa LIMITED" Kampuni MVIWAMBO MTANDAO nai wa wa hiari vikundi Vya wafugaji wilayani Mbozi, unaoundwa baada vikundi kumi baada ya saba (17) baada ya kusajiliwa katika Wizara ya Mambo Ya Ndani tarehe 12 Februari 2002 qual Namba ya ya usajili SO.NO .12344.Vikundi Hivi Vya wafugaji ng'ombe wa wa to maziwa viliungana uwezeshaji mradi wa wa wa kuendeleza Ustawi wa ng'ombe maziwa Nyanda wa za Juu Kusini (Nyanda za Juu Kusini Maziwa Development Programme) SHDDP Moja ya vikundi husika Ushirika nai wa wa wafugaji ng ' ombe wa maziwa Vwawa, ambao ulibuni Mpango Wa Kuwa baada ya Kiwanda cha kusindika maziwa toka to wanaushirika, vikundi shirikishi baada wafugaji wasiowanakikundi.Wazo Hilo lilianza kufanyiwa Kazi to baada ya wanaushirika ya Kuanza kutoa michango to Ajili ya ujenzi wa Kiwanda kilichokusudiwa.Katika harakati Hizi, Wazo Hili lilipendekezwa katika mkutano wa MTANDAO ambao uliafikiana baada Wazo la Ushirika wafugaji wa wa wa ng'ombe maziwa Vwawa baada kuchukua hatua zifuatazo: - 1. Kuandaa Mpango Mdogo wa ya Namna kuchangia / Namna upatikanaji ya Wa Fedha Sat kugharamia shughuri Sat ujenzi wa Kiwanda hicho. 2. Kuomba eneo a eneo toka Halmashauri Wilaya ya, Dad ni Mali, kujenga Kiwanda cha maziwa baada Ombi lilifanikiwa. 3. Kuomba msaada wa kifedha toka Halmashauri Kwa Ajili ya ujenzi baada ya ununuzi wa vifaa Kadhaa vinavyohusika baada ukusanyaji wa maziwa baada ya usindikaji. 4. Pamoja baada ya mchango wa Halmashauri, MTANDAO umefanikiwa kujenga Jengo dogo linalotumika Biashara ya to maziwa moto mtindi, maziwa Aina ya yogoti (mtindi), baada ya kutunzia pembejeo Sat wafugaji kmmadini.Ambalo to sasa-linategemewa Kuwa Kiwanda Kidogo maziwa cha cha kuanzia usindikaji. Maono / MATARAJIO ya MVIWAMBO Kuona kwamba: - • Maisha ya wafugaji ng'ombe wa wa maziwa yameboreka baada kipato cha mfugaji kimeongezeka baada ya • Lishe jamii ya to ujumla imeboreka. Malengo ya MVIWAMBO 1.1. Kujenga baada ya kupanua mawasiliano Baina ya vikundi Vya wafugaji wa wa ng'ombe maziwa baada ya kuwezesha wafugaji kubadilishana Mawazo Baina Yao to Faida ya mfugaji Mmoja Mmoja. • Kuunganisha Nguvu Sat wafugaji Pamoja Ili kuinua kipato chao, Kitu ambacho kingekuwa kigumu to mfugaji Mmoja Mmoja. • Kumshawishi mfugaji AU kikundi cha wafugaji kufanya ufugaji endelevu, ufugaji wa kibiashara kibiashara / ufugaji wa tija Ili kuboresha Maisha Yake. • Kuwa wakili wa vikundi katika kutetea maslahi ya wafugaji katika uzalishaji wa maziwa Ili waweze kujikwamua Kutoka Kwenye wimbi la umaskini. • mbalimbali Kuendesha Miradi . inayohusu uboreshaji ng'ombe wa wa to maziwa kuamini katika sisi wenyewe la kuongeza uzalishaji Bora wa maziwa • Kuboresha mahusiano ya jinsia baada ya umihimu kuamka katika uzalishaji wa maziwa. 1.2 Ili kufanikisha Malengo Hayo MVIWAMBO umenuia: - • Kuendesha mafunzo mbalimbali to kutumia wawezeshaji Mahiri Juu ya ufugaji Bora Wenye tija (kibiashsra) vikiwemo Vyuo Vya Uyole Mifugo Kituo cha Utafiti (ULRC) baada ya Chuo cha Kilimo Sokoine (SUA). • Kuinua kiwango cha uzalishaji wastani toka wa lita lita 7 Hadi 13 to Siku Za maziwa baada ya Ubora wa maziwa.Hili litawezekana Kwani kutakuwepo Soko la la kuaminika maziwa baada ya vifaa Bora Vya kukusanyia maziwa Kwenda kiwandani. • Kuwezesha Mpango Wa upandishaji ng'ombe kutumia to chupa (Artificial insemination / uhimilishaji) au kuongeza uzalishaji Bora to wa maziwa kuboresha koo Sat ng'ombe Ndani wilaya ya. • Kuhimiza wafugaji Kuwa baada Bora malisho baada Mbinu Sat utunzaji wa Chakula cha ng'ombe kwaajili ya matumizi Wakati Wa wanakaya Ili kuhakikisha upatikanaji wa maziwa kipindi Chote. Tangu Mwaka 2008 Ushirika wa wa wafugaji ng'ombe maziwa Vwawa umepata uzoefu wa wa usindikaji maziwa baada bidhaa Sat maziwa.Ushirika unakusanya maziwa toka to wanachama mkesha vikundi dada baada ya wafugaji wasio wanachama. MTANDAO umekubaliana baada kikundi cha wakulima ni toka Kusini MWA Uholanzi (Kiitwacho Foundation Kuungana) kushirikiana katika uanzishwaji wa Kiwanda cha kusindika maziwa Mbozi Kama Wabia. i) Makubaliano yaliyotiwa saini baada ya Pande Zote Mbili Mwaka 2009 yanautambua MTANDAO wa wa Vikundi Vya Wafugaji Ng'ombe Mbozi (MVIWAMBO) Kuwa Ndio Wenye Kiwanda baada Ndio utakaoongoza shughuri Sat ujenzi baada ya uongozi / uendeshaji wa Kiwanda, baada ii) KUUNGANA FOUNDATION watawajibika baada Utafutaji baada ununuzi wa mitambo itakayohitajika baada uongozi WA Kiwanda hicho. 1. WAFAIDIKAJI 1.1 Watakaofaidika baada uanzishaji wa Kampuni inayokusudiwa Angalau familia nai za wafugaji mia saba (700) ambao to sasa-nai wa wanachama vikundi vinavyounda MTANDAO "MVIWAMBO" .Kwa kuboresha Maisha Yao kiafya baada ya kujiongezea kipato kutokana baada ya Biashara ya maziwa. 1.2 Jamii ya Yote wakazi wa Wilaya ya Mbozi to ambao kutumia / kujenga Tabia ya kunywa maziwa baada ya bidhaa jambo watajenga / wataimarisha Afya Zao baada kurefusha Maisha Yao. 1.3 Kampuni tarajiwa (Mbozi maziwa Limited) itachangia katika kipato wanufaika Hasa to to wafugaji - 1.3.1 Kuwapunguzia wafugaji Muda katika jitihada Sat kuuza maziwa Kwani wangelazimika kuuza maziwa Nyumba to Muda Nyumba jambo ambalo lingewagharimu kukosekana kwa uwezo. 1.3.2 Wafugaji wataweza kuuza maziwa yanayokamuliwa Jioni bila bila Shida ambayo uwepo wa Kiwanda itamuwia vigumu mfugaji kupata Soko ziwa Kwani Hawana vifaa Vya kupozea maziwa. 1.3.3 Wafugaji watanufaika kuboresha Mifugo (ng'ombe) Yao kutokana baada ya teknologia baada mafunzo watakayokuwa wanayapata kutokana baada uanachama kuamka KWENYE MTANDAO, to mfugaji anayetegemea watoa huduma binafsi itakuwa nai Ngumu kupata huduma Hizi wanazozipata KWENYE MTANDAO. 1.3.4 Wafugaji watanufaika Kutoka Kwenye Kampuni HII Mpya katika usindikaji maziwa wa to Gharama nafuu. 1.3.5 Wafugaji watanufaika to kupata taarifa za Masoko Kutoka Kampuni Mpya, itakuwa nai to rahisi Kampuni kubainisha Masoko mapya AU taarifa za Masoko mapya sehemu ya mbalimabali kuuzia maziwa baada ya kuandaa usafirishaji ikilinganishwa baada mfugaji Mmoja AU kikundi Kidogo . 1.3.6 Wafugaji watanufaika kupata gawio kutokana baada hisa Zao endapo Kampuni itapata faida.Lakini nai Busara gawio Hilo kutolewa baada ya Kuona Kampuni itakuwa imeimarika. 2. BIDHAA ZITAKAZOZALISHWA NA Kampuni Kampuni itatengeneza baada kuuza bidhaa zifuatazo: - (i) Maziwa mtindi (pasteurized maziwa siki) katika vifungashio Vya Mililita 250 baada Mililita 500. (ii) Krimu, Samli / SIAGI baada jibini (Cream, samli na jibini) (iii ) maziwa yaliyochemshwa baada kupoozwa (pasteurized safi baridi maziwa) katika vifungashio Vya ujazo wa Mililita 500 baada ya (iv) Mtindi katika vifungashio vyenye ujazo wa mililta250. UPATIKANAJI WA maziwa gHAFI maziwa ghafi yataletwa baada vikundi Vya wafugaji Ng'ombe wa wa maziwa baada ya wafugaji binafsi . (Wafugaji binafsi ambao kiwango chao maziwa cha nai Moja to Moja Kidogo watauza Kwenye Kampuni baada ya kulipwa tarehe papo Hapo). Wafugaji walio Mbali baada ya Kiwanda (Kampuni) watauza maziwa Kwenye vikundi vyao, ambapo maziwa yatadhibitiwa Ubora mkesha baada yatapelekwa kiwandani. Vikundi Vya wafugaji wa wa Ng'ombe maziwa vita Pata bei Kubwa Kutoka Kwenye Kampuni ikilinganishwa baada wafugaji binafsi, Hii Ni kutokana baada ya Gharama zitakazofanywa baada vikundi katika kukusanya baada ya kudhibiti Ubora wa maziwa. Mwaka 2006 uzalishaji maziwa Ulikuwa wa nai to Siku 750 litas. Mpango wa Kampuni unalenga kuongeza uzalishaji Kutoka lita 1,880 to Siku Mwaka wa Kwanza to Siku Mpaka lita 4460 katika Mwaka wa kumi (10) .Uzalishaji wa lita 1,880 Sat Mwaka wa Kwanza umezingatia Halisi Hali ya sasa-. Uzalishaji wa maziwa katika mkoa unaongezeka kutokana baada ya kuongezeka Ng'ombe to wa maziwa to to Mwaka 8%. Mviwambo mama pia itaimarisha uzalishaji wa maziwa to kuboresha uhimilishaji (upandishaji to Ushauri wa Njia ya chupa / AI) baada ya kuongeza maeneo ya kupanda malisho ambayo itaongeza uzalishaji to 10% to Mwaka. USHINDANI katika Biashara Washindani wakuu wa Kampuni nai wauzaji binafsi wa maziwa ghafi katika wilaya / Ndani Wilaya ya .Kuna Maduka, matatu (3) binafsi yaliyopo Ndani wilaya ya yanayouza maziwa ghafi.Kwa maziwa yaliyosindikwa Hakuna mshindani katika Wilaya Wakati Huu to. Wauzaji binafsi hushindana baada Kampuni to to kununua maziwa bei ya Juu Wakati Wa wanakaya .Kampuni baada Mviwambo Kama MTANDAO watahamasisha wafugaji umuhimu wakuzingatia Soko la kuaminika to Muda mrefu / Nyakati Zote mama pia Kampuni itashindana to kuzalisha bidhaa Bora Zaidi Ili kukidhi Soko la ushindani. TEKNOLOJIA • Ukusanyaji wa maziwa ghafi katika vituo Vya kukusanyia maziwa katika vijiji Vitano • Kuzingatia Ubora wa maziwa katika vituo Vya kukusanyia maziwa ghafi. • Utunzaji Bora wa maziwa katika matanki yakupozea maziwa katika vituo Vya kukusanyia • Usafirishaji Bora wa maziwa Kila Siku Kutoka Kwenye vituo Vya kukusanyia maziwa Hadi Kwenye Kiwanda cha usindikaji. • Ukaguzi wa Ubora wa maziwa baada ya kuwasili kiwandani • Uchemshaji baada uboreshaji wa maziwa • Uzalishaji wa maziwa Ili kupata bidhaa Sat maziwa mbalimbali • Ufungaji wa maziwa yaliyosindikwa baada utunzaji Kwenye vyumba baridi Vya kutunzia • Usambazaji wa maziwa yaliyosindikwa Kwenye Maduka, ya maziwa. Kutokana baada kutokuwepo baada maji ya uhakika baada ya umeme wa kuaminika hivyo Kampuni itahitajika Genereta baada Kisima (kuzaa shimo) cha kuaminika Kama sehemu ya mradi.Pia Kampuni Inategemea kufanya Biashara ya maji salama Kutoka Kwenye Kisima cha Chake kuaminika. 3. UTAFITI WA SOKO Soko limegawanyika katika sehemu Kuu Mbili. Maziwa ghafi. Uuzaji wa maziwa ghafi hautaruhusiwa kutokana baada Sababu Sat kiafya, ingawa sehemu Kubwa ya Biashara ya Maziwa SASA Hivi huendeshwa katika Hali Hiyo. Maziwa yaliyosindikwa Mbali baada ya maziwa Halisi (safi) mama pia KUNA Soko maziwa la la la, mtindi, SIAGI, Samli & jibini MIKAKATI YA KUFIKIA Malengo YASOKO Kampuni inanuia kuuza maziwa yaliyosindiwa ambayo tu ni maziwa yaliyochemshwa baada kupoozwa, mtindi, mtindi SIAGI, Samli & jibini. Kampuni haitauza maziwa ghafi, Hii Ni kutokana baada ya kuzui






















































































Wordt vertaald, even geduld aub..
 
Andere talen
De vertaling gereedschap steun: Afrikaans, Albanees, Amharisch, Arabisch, Armeens, Azerbeidzjaans, Baskisch, Bengaals, Birmaans, Bosnisch, Bulgaars, Catalaans, Cebuano, Chichewa, Chinees, Corsicaans, Deens, Duits, Engels, Esperanto, Ests, Fins, Frans, Fries, Galicisch, Georgisch, Grieks, Gujarati, Hausa, Hawaïaans, Haïtiaans Creools, Hebreeuws, Hindi, Hmong, Hongaars, IJslands, Iers, Igbo, Indonesisch, Italiaans, Japans, Javaans, Jiddisch, Kannada, Kazachs, Khmer, Kinyarwanda, Kirgizisch, Klingon, Koerdisch, Koreaans, Kroatisch, Lao, Latijn, Lets, Litouws, Luxemburgs, Macedonisch, Malagasi, Malayalam, Maleis, Maltees, Maori, Marathi, Mongools, Nederlands, Nepalees, Noors, Odia (Oriya), Oeigoers, Oekraïens, Oezbeeks, Pashto, Perzisch, Pools, Portugees, Punjabi, Roemeens, Russisch, Samoaans, Schots Keltisch, Servisch, Sesotho, Shona, Sindhi, Sinhala, Slovaaks, Sloveens, Soendanees, Somalisch, Spaans, Swahili, Taal herkennen, Tadzjieks, Tagalog, Tamil, Tataars, Telugu, Thai, Traditioneel Chinees, Tsjechisch, Turkmeens, Turks, Urdu, Vietnamees, Wels, Wit-Russisch, Xhosa, Yoruba, Zoeloe, Zweeds, taal vertalen.

Copyright ©2024 I Love Translation. All reserved.

E-mail: